Posts

Showing posts from April, 2017

JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA LISHE YA KUONGEZA NA KUNENEPESHA MWILI.

Image
Lishe   ya   kuongeza   na   kunenepesha   mwili ni   lishe   maalumu   kwa   ajili   ya    mtu   anaye   taka   kuongeza   ama   kunenepesha   mwili   wake kwa  kutumia  lishe  pekee  bila  kulazimika  kutumia  dawa  za  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  zenye  kemikali  na  side  effects  mbalimbali.  Lishe  huongeza  na  kunenepesha  maeneo  mbalimbali  ya  mwili  wa  mtumiaji  na  kumuongezea  mvuto wake. Ifuatayo   ni   namna    na   jinsi   ya   kuandaa   na   kutayarisha   lishe ya   kuongeza   na   kunenepesha   mwili. MAHITAJI : i.                  Dawa    Ya   Lishe. ii.                 Asali   ya   tende   lita   moja iii.               Vijiko   viwili   vikubwa    vya   tangawizi   ya   iliyo   sagwa. iv.              Unga   wa   lishe. v.                Maziwa    fresh   lita   moja. JINSI    YA     KUTENGENEZA     ASALI    YA     TENDE . Chukua   robo   ya   tende, kasha   changanya   na   lita   moja   ya   maji, halafu   iache   usiku

WASANII WA MDLS MUSIC GROUP, WAACHIA NYIMBO MPYA

Image
MDLS ni kundi la Muziki Tanzania, likiwa na wasanii katika picha, JOHN P BEATS upande wa kulia ktk picha, JINGU au JABIRI JUKULU akiwa katikati, na CENT DA GUERILLA upande wa kushoto ktk picha. Kundi hilo la MDLS ambayo maana yake ni Million Dollar Life Style, lilianzishwa mwaka 2012, wakiwa bado vijana wadogo Sanaa, JOHN P BEATS alianzisha Saluni ya kunyoa ya kiume, ambayo ilikua inaitwa TRIPO-C , Moshi Mtaa wa Shirimatunda Kilimanjaro, na ndo hapo kundi hilo lilipo anza kujinoa katika swala zima la kimuziki. Kundi hili, Mwaka huu 2017 wamepania kuachia nyimbo classic nyingi Sanaa, tukianza na JOHN P BEATS ambaye anatamba na kibao chake kinachoitwa COME N GET IT alichofanya na GOUGGIE , mwezi huu wa 4 karibuuni anachia kibao chake kipya, ambacho kibao hicho ni full romantic, aliyesema hayo akiojiana na Mfaraguzi, piya akasema kuwa MDLS wasanii wengine ambao ni JINGU na CDG wataachia vibao vyao vipyaaa mwezi wa tano na wasita. Makala hii itaendeleya wiki ijayo