Posts

Kuvimba Miguu na Vifundo cha Miguu Kipindi cha Ujauzito (Edema).

Image
  Mwili wa mjamzito unabadilika kwa kasi sana na kumfanya asijisikie vizuri na kukosa utulivu wa mwili na akili. Moja ya mabadiliko ya mwili ambayo wajawazito wengi wanapata wasiwasi nayo kipindi cha ujauzito ni ni miguu na vifundo vya miguu kuvimba. Edema inaathiri karibia robo tatu ya wanawake wajawazito. Mara nyingi inaanza wiki ya 22 mpaka 27, inaweza kubaki hata baada ya kujifungua. Katika makala hii tutajadili kwanini miguu inavimba kipindi cha ujauzito, lini unaweza kuona hali hii, lini umuone daktari, na vidokezo rahisi vinavyoweza kukusaidia kukabiliana na hali hii. Nini chanzo cha miguu kuvimba kwa wajawazito? Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito Ongezeko la kasi la viwango vya homoni ya projesteroni hupunguza kasi ya umeng’enyaji wa chakula. Hii inaweza kusababisha kuvimbiwa tumboni, vilevile unaweza ona mikono, miguu au uso wako umevimba kiasi. Ikiwa utashuhudia mikono, miguu na uso wako kuvimba sana mapema hii, haswa kama uvimbaji huu unaambatana na dalili nyingine kama kizu

UANDISHI VITABU KUWA KIGEZO WAKUFUNZI KUPANDA VYEO MLALE

Image
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akifuraia Jambo mara baada ya kukagua ukarabati wa mabweni ya wanafunzi katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale kilichopo kata ya Magagula Wilaya Songea Mkoani Ruvuma mnamo 26 -09- 2019. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu pichani katikati akiongea na wafanyakazi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale kilichopo kata ya Magagula Wilaya Songea Mkoani Ruvuma mapema jana mara baada ya kutembelea miradi inayoendelea chuoni hapo. Wafanyakazi pamoja na Wakufunzi wa  wa  Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale wakifuatilia kwa makini  maelezo ya    Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu hayupo pichani  alipozuru chuo hicho kwa lengo la kuwasikiliza lakini pia kukagua maendeleo ya chuo hicho. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akipokea maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Mlale Bi. Luciana Mvula kuhusu  mae

KUNA VIUMBE WA AJABU WANAOISHI ANGANI!

Image
Ungana nami katika simulizi hii ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana. Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens.   Wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na binadamu. Viumbe hao waliogundulika karne kadhaa zilizizopita wameshatengenezewa filamu nyingi na wasanii mbalimbali duniani (tutazichambua huko mbele). Aliens wapo wa rangi tofauti kama kijani, weupe, weusi, njano, zambarau na kila aina ya rangi. Inaaminika kuwa Aliens wanaoishi angani wana akili nyingi kuliko binadamu. Wana mfumo wa kompyuta uitwao Alien Software na wapo juu kiteknojia kuliko binadamu tatizo tuu hawavai nguo!! Tofauti na binadamu ambaye anafanya kazi kwa hatua moja kwenda nyingine, Aliens wao hufanya mambo kinyume kabisa. Kwa mfano wakitaka kusema ‘naomba maji’ husema ‘maji naomba’ yaani cha nyuma kinakwenda mbele na

JITAMBUE,JITAFAKARI,CHUKUA HATUA & BADILI MAISHA YAKO!!

Image
ukiona huna usemi na maisha yako,ulevi,uvutaji,ufuska,kundi rika,ufukara,unakataliwa na jamii,umetengwa,mipango haifanikiwa mara kwa mara,jua tayari uko kifungoni na katika hali hiyo kamwe hutaweza piga hatua maishani,usisite lazima ujifikie namna ya kutoka . maarifa ya namna ya kutoroka katika gereza hilo!!!Wake up!Your Comrade-Pius Mushi…Break Out Free!!!!!kikwazo kikubwa cha mafanikio ni wewe mwenyewe na vile uishivyo!!!- Kuwa mtu zima haitokani tu umri wa mtu,kuwa mtu mzima ni hatua mtu anayofikia baada ya kujitadhimini na kuchukua hatua mhimu katika maisha ya mtu binafsi..ni uamuzi wako kukua au kubaki mtoto. Sina shaka ya kwamba matatizo yaliyokuwa yakiniandama siku za nyuma yalikuwa ni mahususi kwangu tu,bali na hatua katika maisha na vijana wengi aidha wako kwenye hali hiyo ama wamekwisha ivuka au wanaelekea, Hakuna kipindi kigumu kama ujana ,napenda kusema hivyo kwa sababu ni wakati ambao kijana anakutana na mambo angali maarifa yake ni duni.Makundi rika,pom

ULAJI WA KITIMOTO NI HATARI SANAA KWA AFYA YA BINADAMU

Image
Kwa ufupi Hayo ni matokeo ya utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni katika wilaya za Mbulu, Kongwa, Sumbawanga, Mpanda, Iringa, Urambo na Mbozi ambako walibaini kuwa ulaji wa nyama hiyo maarufu kama kitimoto ni hatari zaidi kwa afya ya binadamu. Dar es Salaam.  Hatari! Watu wanaokula nyama ya nguruwe ambayo itakuwa haijaivishwa vizuri wako katika hatari ya kuambukizwa minyoo aina ya tegu na magonjwa mbalimbali ukiwamo wa kifafa. Hayo ni matokeo ya utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni katika wilaya za Mbulu, Kongwa, Sumbawanga, Mpanda, Iringa, Urambo na Mbozi ambako walibaini kuwa ulaji wa nyama hiyo maarufu kama kitimoto ni hatari zaidi kwa afya ya binadamu. Kiongozi wa jopo la watafiti hao, Mhadhiri wa UDSM, Chacha Mwita alisema kati ya watu 1,036 waliofanyiwa vipimo, 150 walikutwa na maambukizi ya minyoo hiyo na kwamba walibaini kuwepo kwa mzunguko mkubwa wa minyoo y

HERI KWA SIKU YA KUZALIWA PRODUCER BEN LEE

Image
   KATIKA PICHA JUU HAPO HUYO NDO BEN LEE Leo ni Siku ya pekee kwa Producer BEN­_LEE ndani ya Studio ya BL_MUSIC. Studio ya BL_MUSIC iko Mkoani Dodoma, Mtaa wa KIKUYU, maeneo ya karibu na chuo kikuu cha St. Johns. Siku kama ya leo ni siku ambayo alizaliwa, hivyo basi Kwa heshima na tahadhima management nzima ya mfaraguzi media Inapenda kumtakia heri ya sikukuu ya kuzaliwa, na Mungu azidi kumpa maono katika Karama au talanta ya Music production piya na mafanikio mengi, kwamaana Wasanii ni tegemezi kwake ususani swala zima la uaandaaji wa Nyimbo mbali mbali kama vile BONGO FLEVA, HIP HOP, NYIMBO ZA INJILI KAMA KWAYA, N.K Pichani: Kushoto; BEN LEE, katikati; BENNITO, nyuma; DIZZOkulia; MFARAGUZI Producer BEN LEE Mbali na kutaharisha muziki yaani ugongaji wa midundo na swala zima la production, ni Video directer, alishafanya videos kazaa ambazo zingine ziko katika mataharisho yaani ya uchambuaji, na moja ambayo ilishatoka ni yake mwenyewe.  BEN LEE ni KIRAKA kila ko

UMRI MZURI KWA MWANAMKE KUPATA MTOTO (KUZAA)

Image
Tamaa ya kutaka kufanikiwa maishani imeenea duniani kote. Hali imebadilika sana, jinsia ya kike inataka kujitosheleza kwa kila kitu. Lakini mabadiliko ya kibaiolojia yanabaki vile vile mfano kuzeeka nk. Mafanikio wanayowaza wengi ni utajiri wa pesa na elimu kubwa. Hii imesababisha wanawake wengi kusoma sana na kufanya kazi kupita kiasi, hata kupuuzia suala la kuzaa mapema. Wengi wanashtuka ikiwa umri wao ni zaidi ya miaka 30, ndio wanakuwa na tamaa ya kuzaa. Kuchelewa kwao kuzaa kunaweza kuwa kwa taabu ama kuzaa watoto wenye matatizo mengi ya kiafya. Kwa miaka mingi, wataalamu wengi wa afya ya uzazi bado wanaamini miaka 20-35 ndio umri sahihi kushika mimba na kuzaa. Pia, wengi wakifikiri matatizo mengi ya uzazi huongezeka baada ya miaka 35 na huwa zaidi baada ya miaka 40. Kwa wenzi wawili wanaoishi pamoja, kuchelewa kuzaa huathiri pia wenza wa kiume, ambapo mbegu za uzazi za mwanaume hudhorota kila mwaka upitao na watoto wamaotokana na wanaume wazee huwa na hatari zaidi